Relationships
Mahusiano

Sister - Dada
This is my sister - Huyu ni dada yangu

Brother - Kaka
That is my brother - Yule ni kaka yangu

Friend - Rafiki
He is / She is my friend - Yeye ni rafiki yangu

Husband - Mume
This is my husband - Huyu ni mume wangu

Wife - Mke
She is my wife - Yeye ni mke wangu

Relative - Ndugu
Come see my relative - Njoo umuone ndugu yangu
Jane and James are relatives - Jane na James ni ndugu

Sibling - Ndugu / Jamaa
I have two siblings - Nina ndugu / jamaa wawili

Pet - Mnyama wa ndani
This is my dog - Huyu ni mbwa wangu