Introduction
Utambulisho

I / I am - Mimi (ni)

I am African - Mini ni Muafrika

I am Maria - Mimi ni Maria

I am the last born - Mimi ni mtoto wa mwisho

I am not a guest - Mimi sio mgeni

I have two siblings - Nina ndugu wawili

I don't have it - Sina

You - Wewe (U) (Singular) | Nyinyi (M) (Plural)

You are tall - Wewe ni mrefu

You are scared - Nyinyi ni waoga

You are lost - Umepotea

You are tired - Mmechoka

You like oranges - Unapenda machungwa

You are relatives - Nyinyi ni ndugu

We - Sisi (Tu)

We are new in town - Sisi ni wageni kwenye jiji

We are going out tonight - Tunatoka leo usiku

We don't have it - Hatuna

We are tired - Tumechoka

We are sisters - Sisi ni dada (sisi ni ndugu)

They - Wao / Wale (Wa)

They like dancing - Wanapenda kucheza

They are kind - Wao ni wakarimu

They are not good friends - Wale sio marafiki wazuri

They came in late - Walichelichelewa kufika

These - Hawa
These are my relatives - Hawa ni ndugu zangu

He / She / It - Yule / Huyu / Yeye
She is a mother - Yeye ni mama
He is a boy - Yeye ni mtoto wa kiume
He is tall - Yeye ni mrefu
It is a cat - Huyu ni paka

Mine / my - Yangu / Wangu
This is my sister - Huyu ni dada yangu
My name is John - jina langu ni John

Your / Yours - Yako / Wako
That is your brother - Yule ni kaka yako

Our / Ours - Yetu / Wetu / Chetu
He is / She is our friend - Yeye ni rafiki yetu
This is our dog - Huyu ni mbwa wetu
This is our room - Hiki ni chumba chetu
Come meet our parents - Njoo ukutane na wazazi wetu

Their / Theirs - Yao / Zao / Wao
That is their car - Ile ni gari yao
These are their houses - Hizi ni nyumba zao
This is theirs - Hii ni ya kwao
This is their cat - Huyu ni paka wao