Asking Questions
Kuuliza Maswali

What? - Nini
What is the meaning of your name? - Nini maana ya jina lako?

Where? - Wapi?
Where can I get some food? - Wapi ninaweza kupata chakula?

When? - Lini?
When will you come to visit me? - Lini utakuja kunitembelea?

How? - Vipi?
How can I get to town? - Je, ni vipi naweza kufika mjini?

How? - Namna gani?
How can I help you? - Namna gani naweza kukusaidia?

Which? - Ipi? / Yapi? / Zipi?
How can I help you? - Namna gani naweza kukusaidia?
Which oranges are ripe? - Machungwa yapi yameiva?
Which roads are safe to use? - Barabara zipi ni salama kupita?

Who? - Yupi?
Who is tall between John and Steve? - Yupi mrefu kati ya John na Steve?

Who? - Nani?
Who wants to go to school? - Nani anataka kwenda shule?