Body Parts
Sehemu za Mwili

Body - Mwili

Eye brows - Nyusi

Head - Kichwa

Eye lashes - Kope

Shoulders - Mabega

Arm - Mkono

Hair - Nywele

Eye lids

Hand - Mkono

Ears - Masikio

Nose - Pua

Elbow - Kisugudi

Eyes - Macho

Mouth / Lips - Mdomo

Belly button - Kitovu

Tongue - Ulimi

Waist - Kiuno

Teeth - Meno

Wrist - Kiganja

Chest - Kifua

Leg - Mguu

Chin - Kidevu

Stomach - Tumbo

Knee - Goti

Shingo - Neck

Foot - Mguu

Heel - Kisigino

Back - Mgongo

Ankle - Kifundo cha mguu

Sole - Nyayo

Toes - Vidole vya mguuni

Toe nails - Kucha za vidole vya miguuni

Fingers - Vidole

Palm - Kiganja

Buttocks - Makalio

Eyes - Macho

Nails - Kucha

Thigh - Paja

Cheeks - Mashavu