Mahusiano
Relationships

Dada - Sister / sibling

Huyu ni dada yangu - This is my sister

Kaka - Brother / sibling

Yule ni kaka yangu - That is my brother

Hawa ni kaka na dada zangu - These are my sisters and brothers / These are my siblings

Rafiki - Friend

Yeye ni rafiki yangu - He is / She is my friend

Mume - Husband

Huyu ni mume wangu - This is my husband

Mke - Wife

Yeye ni mke wangu - She is my wife

Ndugu - Relative

Njoo umuone ndugu yangu - Come see my relative

Mnyama wa ndani - Pet

Huyu ni mbwa wangu - This is my dog

Bibi - Grandmother / Grandparent

Bibi yangu anaitwa Mariana - My grandmother is called Mariana

Babu - Grandfather / Grandparent

Babu yangu ni mkulima - My grandfather is a farmer

Babu ni bibi yangu wanaishi Tanzania - My grandparents live in Tanzania

Binamu - Cousin

Joel ni binamu yangu - Joel is my cousin

Jirani - Neighbor

Wewe ni jirani yangu - You are my neighbor

Sisi ni majirani - We are neighbors