Kuuliza Maswali
Asking Questions

Nini - What?
Nini maana ya jina lako? - What is the meaning of your name?

Wapi? - Where?
Wapi ninaweza kupata chakula? - Where can I get some food?

Lini? - When?
Lini utakuja kunitembelea? - When will you come to visit me?

Vipi? - How?
Je, ni vipi naweza kufika mjini? - How can I get to town?

Namna gani? - How?
Namna gani naweza kukusaidia? - How can I help you?

Ipi? / Yapi? / Zipi? - Which?
Namna gani naweza kukusaidia? - How can I help you?
Machungwa yapi yameiva? - Which oranges are riped?
Barabara zipi ni salama kupita? - Which roads are safe to use?

Yupi? - Who?
Yupi mrefu kati ya John na Steve? - Who is tall between John and Steve?

Nani? - Who?
Nani anataka kwenda shule? - Who wants to go to school?