Asubuhi - Morning
Habari ya asubuhi?
Good morning

Mchana - Afternoon

Habari ya mchana?
Good afternoon

Jioni - Evening
Habari ya jioni?
Good evening

Usiku - Night
Usiku mwema
Good night

Salamu
Greetings

Habari yako

How are you?

Wewe je?

And you?

Nzuri
Fine

Sio nzuri
Not fine

Karibu

Welcome

Nipo salama
I am doing well

Sipo salama
I am not doing well

Asante

Thank you