Telling Time
Kusema Muda

O'clock- Kamili
Two o'clock - Saa nane kamili

Half past - Na nusu
Half past one (1:30 p.m.) - Saa saba na nusu (1:30)

Quarter past - Na Robo
Quarter past eight (8:15) - Saa mbili na robo (8:15) -

Quarter to - Kasoro robo
Quarter to eight (07:45) - Saa mbili kasoro robo (07:45)