Numbers - Part A
Nambari - Sehemu A
(1) - One - Moja
(2) - Two - Mbili
(3) - Three - Tatu
(4) - Four - Nne
(5) - Five - Tano
(6) - Six - Sita
(7) - Seven - Saba
(8) - Eight - Nane
(9) - Nine - Tisa
(10) - Ten - Kumi
(11) - Eleven - Kumi na moja
(20) - Twenty - Ishirini
(21) - Twenty one - Ishirini na moja
(30) - Thirty - Thelathini
(32) - Thirty two - Thelathini na mbili
(40) - Forty - Arobaini
(43) - Forty three - Arobaini na tatu
(50) - Fifty - Hamsini
(54) - Fifty four - Hamsini na nne
(60) - Sixty - Sitini
(65) - Sixty five - Sitini na tano
(70) - Seventy - Sabini
(76) - Seventy six - Sabini na sita
(80) - Eighty - Themanini
(87) - Eighty seven - Themanini na saba
(90) - Ninety - Tisini
(98) - Ninety eight - Tisini na nane
(100) - One hundred - Mia (mia moja)