Kusema Muda
Telling Time

Kamili - O'clock
Saa nane kamili - Two o'clock

Nusu - Half past

Saa saba na nusu (1:30) - Half past one (1:30 p.m.)

Robo - Quarter past
Saa mbili na robo (8:15) - Quarter past eight (8:15)

Kasoro robo - Quarter to
Saa mbili kasoro robo (07:45) - Quarter to eight (07:45)